Michezo huchangamsha sana ukitumia programu ya Michezo ya Google Play. Gundua mchezo mpya uupendao, kisha ushindane na marafiki zako na ufuatilie mafanikio unayopata. Unavyojua michezo mingi, onyesha ujuzi wako katika maelezo yako ya michezo. Pia, unaweza kuendelea ulipoachia ukitumia kifaa chochote. Cheza na marafiki, popote walipo, katika sehemu moja.
VIPENGELE MUHIMU • Maelezo ya mchezaji: Unda Kitambulisho maalum cha mchezaji, pata alama za XP na uongeze kiwango kadri unavyoendelea kubobea katika Michezo kwenye Google Play. • Mafanikio na bao za wanaoongoza: Kamilisha mashindano, pata zawadi, na uzifuatilie ukiwa ndani ya programu. Kisha, ujilinganishe na wachezaji wengine. • Michezo ya Google Iliyojumuishwa Ndani: Cheza PAC-MAN, Solitaire, Snake, na Cricket — hata ukiwa nje ya mtandao. • Ukumbi wa michezo: Pata mchezo unaokupendeza katika sehemu ya mikusanyiko Mipya, Inayovuma na Chaguo za Wahariri. • Kurekodi uchezaji*: Rekodi na ushiriki kwa urahisi matukio bora ya mchezo wako kutoka michezo uipendayo ya vifaa vya mkononi.
* Inapatikana tu katika baadhi ya nchi
Cheza michezo maarufu na upate mafanikio na alama za juu.
Ilisasishwa tarehe
24 Nov 2026
Burudani
Usalama wa data
arrow_forward
Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Mahali, Taarifa binafsi na nyingine4
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Unaweza kuomba data hiyo ifutwe
Angalia maelezo
Ukadiriaji na maoni
phone_androidSimu
tvRuninga
laptopEneo-kazi
tablet_androidKompyuta kibao
4.2
Maoni 12.1M
5
4
3
2
1
Freddy Shukran
Ripoti kuwa hayafai
12 Septemba 2026
Good
Watu 2 walinufaika kutokana na maoni haya
Deograsias Daudi
Ripoti kuwa hayafai
28 Desemba 2023
Nzuri
Watu 27 walinufaika kutokana na maoni haya
nahfaty rashidy kambona
Ripoti kuwa hayafai
24 Mei 2022
Nnzuli
Watu 61 walinufaika kutokana na maoni haya
Vipengele vipya
• Michezo mingine midogo iliyojumuishwa inakuja hivi karibuni. Icheze wakati haupo mtandaoni. • Sasa mchakato wa kuingia katika akaunti ya michezo unafanyika kiotomatiki. Chagua tu akaunti yako na uanze. (Ndiyo, unaweza kubadilisha akaunti hiyo wakati wowote katika mipangilio.)